Maandamano: UVCCM Waahirisha Maandamano Yao,watii Agizo La Jeshi La Polisi

Nafasi za kazi 2019 Tuesday, 30 August 2016 0

Agosti 22, 2016 Umoja wa Vijana wa CCM tuliutangazia umma na dunia kwamba ifikapo Agosti 31 mwaka huu tutaitisha maandamano ya amani nchi nz...

Tundu lissu: Wakili Apinga Tundu Lissu Kusomewa Mashitaka Mapya........ Hakimu aahirisha kesi hadi mwezi ujao

Nafasi za kazi 2019 0

Upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu na wahariri wa Gazeti la Mawio iliyopo katika ...

Wakurugenzi Watano Tpdc Wasimamishwa Kazi Kupisha Uchunguzi

Nafasi za kazi 2019 Sunday, 28 August 2016 0

Diamond na Wizkid wakutana, je kuna collabo kati yao?

Nafasi za kazi 2019 Thursday, 25 August 2016 0

Kwa hili linalotokea kwa Diamond kwa sasa ni kama kero kwa baadhi ya watu lakini ni sherehe kwa upande wa mashabiki wake kutokana na kila si...

Nafasi za kazi 2019 0

Europe Merkel, Hollande and Renzi meet in Ventotene to discuss EU's post-Brexit future The leaders have vowed that the decision made by ...

Jeshi la Polisi Lamkamata Kijana akiuza fulana za UKUTA.......Latoa Onyo Kali Kwa Waliojipanga Kuandamana Septemba 1

Nafasi za kazi 2019 Monday, 22 August 2016 0

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejiandaa kudhibiti maandamano ya Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania (Ukuta) ...

Jela miaka 30 Kwa Kumbaka Mwanafunzi wa Miaka 9

Nafasi za kazi 2019 Sunday, 21 August 2016 0

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilayani Urambo mkoani Tabora, imemuhukumu Deus Barnaba(45) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumkuta na hatia ya ...

MBEBEZZ ALIYETINGISHA MITANDAO YOTE YA KIJAMII LEO LIVE

Nafasi za kazi 2019 Friday, 19 August 2016 0

Wasanii wanne wa Orijino Komedi Wakamatwa na Kuhojiwa Polisi....Masanja Mkandamizaji Aendelea Kusakwa

Nafasi za kazi 2019 Thursday, 18 August 2016 0

Wasanii wanne wa kundi la vichekesho la Orijino Komedi akiwamo meneja wao wamekamatwa na kuhojiwa na jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Da...

Mbunge wa CUF akamatwa kwa uchochezi

Nafasi za kazi 2019 0

MBUNGE wa Tanga Mjini, Mussa Mbaruku (CUF), amekamatwa. Mbunge huyo alikamatwa juzi na Jeshi la Polisi na kuhojiwa kwa zaidi ya saa sita kwa...

Mwanamke abakwa, auawa na kutupwa kichakani

Nafasi za kazi 2019 Saturday, 13 August 2016 0

MWANAMKE anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40, amekutwa amekufa katika mazingira yanayoonesha kwamba alibakwa kabla ya kuuawa na kutupwa k...

MAGAZETI YA AGOSTI 13, HABARI, MICHEZO NA UDAKU

Nafasi za kazi 2019 0

Hizi ni habari kubwa kubwa ambazo zimeandikwa na magazeti ya kitanzania leo Agosti 8. Kama haukupata muda wa kutembelea magazeti ya vituoni ...

Diamond: Muziki si Kitu Cha Lazima Kwangu

Nafasi za kazi 2019 Tuesday, 9 August 2016 0

Diamond amesema kuwa hategemei muziki kuendesha maisha yake. Hit maker huyo wa wimbo wa ‘Kidogo’ hivi karibuni kupitia kipindi maalum cha ki...