UNAJUA KWA NINI HUJAPATA KAZI MPAKA SASA? UKWELI HUU HAPA | Nafasi za kazi 2018

UNAJUA KWA NINI HUJAPATA KAZI MPAKA SASA? UKWELI HUU HAPAHello, how are you?
Leo nataka nizungumzie jambo moja muhimu sana ambalo wengi hatulifahamu hasa inapokuja suala la kutafuta kazi ili utume maombi. Kabla ya kutafuta kazi kuna mambo mengi unatakiwa uyafahamu wewe kijana mwenzangu unaetafuta kazi ,kwa tafiti ya hivi karibuni hasa  kipindi hiki cha utandawazi ni kwamba kila tangazo la kazi utakalokutana nalo watakuhitaji utume maombi yako kwa njia ya mtandao (Online application)  wakikwambia send your cv to the following email...
Tulio wengi  bado hatuna uzoefu huu hivyo basi mimi kama mdau wa kukurahisishia kupata matangazo mbalimbali ya kazi kutoka kwa waajiri wa kuaminika na kutoka mitandao mikubwa ya kuaminika haba nchini kama vile Zoom Tanzania,Ajira PortalAngazetu na mingine mingi.

Yafuatayo unapaswa kuyafahamu kabla hujaanza mchakato wa kutafuta kazi


 1. Utapaswa uwe na curriculum Vitae katika hard copy na soft copy
 2. Vyeti vyako vi scan na uvihifadhi online kama vile kwenye email yako au hata ukiwa navyo kwenye simu yako siyo mbaya
 3. Uwe na email address ambayo ipo active kama huna fungua leo
 4. Ingia kwenye shughuli ya kutafuta kazi 
Namna ya kuomba kazi
 Kila tangazo la kazi lazima likuelekeze namna ya kuomba kazi mara nyingi utakuta maelekezo kama yafuatayo
 • Apply Now
 • Apply for this job 
 • Deadline 
 • APPLY THROUGH..........POSTAL ADDRESS....
 • Send your CV to ............EMAIL
 ANGALIZO:

Mara nyingi watu wanakosea na kuanza kutuma maombi ya kazi hapo chini kwenye ki box cha kutoa maoni wanakosea hii ni blog tu kwa ajili ya kutoa msaada namna ya ya kupata kazi kwakukuletea matangazo mbalimbali ya kazi lakini kama utahitaji msaada nipigie simu nikuelekeze kwa kadri ya uwezo wangu ili utume maombi yako vizuri...
Kwa mfano kuna baadhi wanatuma maombi kwenye comment box ya blog ambayo ina tangazo la kazi kwa mfano kuna mwombaji aliwahi kutuma maombi kwenye blog hii kama ifuatavyo

Wa kwanza alituma hivi...

Dear sir /madam
REF. APPLICATION OF TEACHING VACANCY OF HISTORY SUBJECT AT YOUR SCHOOL
Refers to the above subject. I am a Tanzanian female person 25 years old, a graduate at University of Arusha. As the announcement asked for a history teacher, im a history teacher with fool of qualification. 
I keep on waiting for your considerable response, hoping that my request will be accepted positively. Yours in building nation, 
..............................
..........


Wa pili alituma maombi yake kama hivi...

P.O Box 79422
Dar-es-salaam. 
The Principal 
Haven of Peace 
High School 

Re:Jobs application 
I write to apply for a job application in your esteemed institution. I'mean a teacher by profession with a Bachelor'so degree in Education from Kyambogo University. 
Currently I'm working at Atlas pre and Primary School Dar-es-salaam serving as the deputy head teacher and position I have been holding since 2013 to date.
I however decided to apply for a new job so as to gain more experience any more challenges in a new environment. 
For more details about my academic credentials 
I can call on your office to deliver them personally .
Looking forward to receiving your positive response at your convenience. 
Truly Yours 
.................
na wa mwingine alituma kama ifuatavyo...


Naitwa ....... ni mtanzania Nina miaka 20 nimemaliza Kidato cha NNE mwaka 2014 naomba nafasi ya kazi ya nursing natumaini ombi langu litakubalika

Kwa namna hii utakuta mhusika anasubiri majibu kesho mpaka mwakani kumbe alikosea kutuma maombi yake .......


NAMNA NA KUEPUKA MATAPELI SOMA HAPA>>>>MATAPELI WA KAZI

Je ulishaipitia hii orodha ya nafasi za kazi mbalimbali leo?

Aksante kwa kutembelea mtandao wangu
Frank CEO and Founder of angazetu.com
+255685138617

Download our app

google+

linkedin

HABARI NJEMA KWAKO
 • MATANGAZO YA KAZI KILA SIKU. PAKUA APP YETU HAPO JUU

   

  About Us