MPYA: HII HAPA BARUA YA MFANO YA MAOMBI YA AJIRA ZA UALIMU 2017 | Angazetu Portal
Breaking News
Loading...

Saturday, 12 August 2017

MPYA: HII HAPA BARUA YA MFANO YA MAOMBI YA AJIRA ZA UALIMU 2017

Welcome to the best and popular blog for jobs and education .In this blog you will find more about Jobs....where you will get more information about latest new jobs posts for Tanzanian, how to write a good CV, how to answer correctly interview questions and more tips about jobs not only that but also in this blog you will find more information about universities, students load board, admission system of various institutions, programmes offered, deadlines for applications into various programmes such as certificates, diploma , bachelor degrees and so forth. KARIBU SASA UENDELEE NA HABARI HII


Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, atitangaza nafasi za ajira kwa walimu shule za sekondari na msingi ambapo moja ya maelekezo yaliyotolewa ni kwamba waombaji watume barua kwa njia ya Ems.

Hivyo kwa kulifahamu hili sisi kama ajira Tza, tumekuandalia sampuli ya barua ya kuomba kazi ya ualimu. Barua hii unaweza ichukua ukaitumia kama mwongozo wa kuandika barua yako.  Kwenye mapungufu utajazia.

Kama Hukusoma Tangazo Bofya>>> Hapaxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx


Ajira Tza Blog,,
S.L.P  2017
MANYONI
11 Agost, 2017

Katibu Mkuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
S. L. P. 10,
40479 DODOMA

YAH: MAOMBI YA UALIMU –SEKONDARI/ MSINGI 2017
Husika na kichwa cha barua tajwa hapo juu. Mimi ………………………………Kijiji cha…………kilichopo wilaya ya…………..mkoani…………………niliyesomea Shahada/Stashahada/astashahada ya ualimu katika masomo ya………………………………..kutoka chuo /Chuo kikuu cha………………………………..mwaka ………………………………………..
Ninaomba ajira ya ualimu sekondari/ msingi kwani ninazo sifa tajwa katika Tangazo la Ajira la 09 Agosti, 2017.Nitakua tayari kufanya kazi sehemu yoyote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tafadhari rejea nakala ya Vyeti  vyangu vya kitaaluma pamoja na Cheti cha kuzaliwa  vilivyo  ambatanisha na barua hii.

Nitafurahi endapo maombi yangu yatakubaliwa

Wako katika kazi
………………………………..
(majina yako matatu)

Nafazi zingine za kazi


NB: KUMBUKA KUENGOZE PALE UNAPOHISI KUNA MAPUNGUFU
Imeandaliwa na Frank Zakaria CEO wa Ajira Tza Blog
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0685138617


google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    About Us