UNIVERSITY OF DODOMA STUDENTS--MOTO WA KUOTEA MBALI | Angazetu Portal- Jobs in Tanzania

Saturday, 18 November 2017

UNIVERSITY OF DODOMA STUDENTS--MOTO WA KUOTEA MBALI

PAKUA APP YA AJIRA TANZANIA UPATE MATANGAZO YA KAZI KILA SIKU

BOFYA KWENYE PICHA HII HAPA CHINI
This is angazetu.com the only Site to give you more authentic information about Jobs, online Job search, top high pay Jobs list, how to create a professional CV, how to answer technical Job interview questions, You may also find more information about Education covering things like scholarships, online degree studies, top lists of best universities, how to register for degree online, common undergraduate programmes, students Loan and more information about Student Tips, Standing articles

Apart from the above, angazetu.com will inform you top headlines on front pages of local Newspapers (Magazetini leo). 

To get started , check out this article about UDOM ...Chuo kikuu cha Dodoma kina college Saba


Chuo kikuu cha Dodoma ni mojawapo ya vyuo vikuu Bora nchini vinavyotoa wanafunzi wenye ubora mkubwa licha ya baadhi ya watu wenye mtazamo hasi juu ya chuo cha Dodoma kukieleza chuo hicho katika mtazamo mbaya na hii kwa wataalamu wa pyschology wanaitaja tabia hii ni tokeo la tatizo la kisaikolojia liitwalo HALO EFFECT,


Hiyo ni kwaida, ifahamike k mwanafunzi yeyote wa chuo kikuu awapo chuo anapitia mafunzi ya aina mbili aina ya kwanza ni nadharia na vitendo.
Tafiti zinaonsha kuwa wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wawapo katika maeneo ya kufanyia mafunzo kwa vitende kwa ujumla wao wamekua mfano wa kuigwa katika mambo mengi sana kwa ujumla wao
Tafiti hii ilifanyika kwa wanafunzi wanaosomea ualimu chuoni hapo ambapo ilibaini mambo ya fuatayo ambayo imepekelea Gumzo ambazo zinatokana na kushangazwa kwa namna ambayo imewaacha" hoi" jamii kwa ujumla na shule zote ambazo wanafunzi  hawa hupangiwa au huchagua kufanyia mazoezi yao ya kufundisha'

 Soma pia

UDOM: WANASAIKOLOJIA KUTOKA UDOM WAONESHA MFANO BORA UNAOPASWA KUIGWA


1.Bidii ya kazi.
Mkuu wa shule ya sekondari Manyoni alinukuliwa kwamba anatamani wanfaunzi kutoka Udom warudi tena shuleni kwake . Hii ni kutokana na ukweli kwamba walimu wanafunzi hao walifanya kazi ya kufundisha kwa moyo wakujitolea sana ambapo walilazimika kufundisha hata saa za jioni kwa kujitolea .
        
2.Mavazi
Hakuna mwanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma alionekana amevalia mavazi yasiyo na heshima. Walimu wanafunzi wa kiume kutoka vyuo mbalimbali katika shule moja asilimia 90 ya waliovaa Koti za suti ni wa kutoka chuo kikuu cha dodoma.


3.Mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi. 
Kama inavyofahamika katika jamii kwamba jambo hili la kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi ni kosa la jinai na adhabu yake miaka 30 Jera, Katika maadili ya ualimu hauiruhusiwi mwalimu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi wa shule yake au yeyote ile. Kwa hili tafiti inaonesha kuwa wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wamekua mfano wa kuigwa kwa walimu wanafunzi wengine kwakutojihusishakimapenzi na wanafunzi wao.
4.Upendo. Ualimu ni utume, walimu hawa kutoka chuo kikuu cha dodoma wamekua ni wenye huruma kwa wanafunzi kitu ambacho kimesababisha wanafunzi kutoka shule walizofanyia mafunzo yao kuwa na upendo juu ya walimu wanafunzi hawa. Upendo huu umeibua shauku ya wanafunzi wa shule walizofundisha kupenda kujifunza nakujiona ni wenye uwezo zaidi wa kufanya vizuri katika masomo yao.
5.Hamasa.
Walimu wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wawapo mafunzo kwa vitendo wamekuwa walimu bora kwa kuwa tia moyo wanafunzi wa makundi yote kujifunza kama ilivyo kwa kwa vionozi wa dini.
Mapendekezo.
  • Pongezi ziwaendee wakufunzi wa chuo kikuu cha dodoma kwa kutoa kile kiwango stahiki cha elimu itakayoleta mabadiliko katika jamii na siyo mradi elimu tu isiyo na tija.
  • Kwa wanafunzi wa chuo kikuu dodoma jamii ya tanzania inawasubiri kwa hamu kupata kile ambacho mpekipata kutoka chuoni ili kuikomboa jamii kutoka matatizo mbalimbali yanayoikumba jamii kama Magonjwa, umaskini,Ujinga n.k hivyo endeleeni kuwa na sifa nzuri zaidi ya hizo zilizoelezwa
  • Rai kwa vyuo vikuu nchini vinatakiwa kutoa elimu ya kiwango stahiki bila kuripua kwa maslahi ya taifa


Aksante
Imeandaliwa na Frank Zakaria,Mmiliki wa angazetu.com
Mawasiliano:0685138617


PAKUA APP YA AJIRA TANZANIA UPATE MATANGAZO YA KAZI KILA SIKU

BOFYA KWENYE PICHA HII HAPA CHINI


About Author