Call for Interview UDOM February,2018 | Nafasi za kazi 2018

Call for Interview UDOM February,2018Mission and Vision and Objectives
The Goal is , To increase the contribution of higher education in Tanzania's attainment of economic growth, reduction of poverty and improved social wellbeing of Tanzanians through increased access to higher education, technological innovation, generation and application of knowledge.
The Vision of the University is to become a centre of excellence that offers value added training, research and public services.
The broad objective of establishing UDOM is to create in Tanzania a place where knowledge will be transfered from one generation to another, a place where through relevant teaching and learning processes human capital vested with knowledge and skills for economic development of Tanzania will be produced, and through relevant research the frontiers of knowledge will be advanced and provide solutions to the people's suffering.
GOAL:
VISION: 
MISSION:
The Mission of the University is to provide comprehensive, gender sensitive and quality education to a broad segment of the population through teaching, research and public services in the fields of education, health and allied sciences, natural sciences, earth sciences, informatics and communication technology, business, humanities and social sciences.
OBJECTIVES: 

Chuo Kikuu cha Dodoma kinawakaribisha waombaji wa nafasi za kazi za Mhasibu Msaidizi (assistant Accountant) na Karani wa Mahesabu (accounts Assistant) kuhudhuria usaili wa kuandika utakaofanyika siku ya Jumamosi, tarehe 10 Februari, 2018 kuanzia saa mbili asubuhi. Usaili huu utafanyika katika ukumbi wa mihadhara wa Chuo cha Biashara na Sheria (CBSL_CT 3). Wasailiwa walioorodheshwa hapa chini wanahimizwa kuwahi ili kukamilisha taratibu za usajili kabla ya usaili.

Wasailiwa wanakumbushwa kuchukuwa nyaraka zifuatazo:
(i) Vitambulisho kama hati za kusafiria, leseni, kadi za mpiga kura, vitambulisho vya taifa, vitambulisho vya kazi nk
(ii) Vyeti na nakala zake. Vyeti hivyo ni pamoja na shahada, stashahada, astashahada, vyeti vya kidato cha nne na cha sita, vyeti vya kuzaliwa, nk..
(iii) Vyeti vya muda kama “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of Results”, Form IV and Form VI results slips havikubaliki.
(iv) Picha mbili za “passport” zilizopigwa hivi karibuni.
Tafadhali kumbuka na zingatia kuwa:
(i) Ni jukumu la wasailiwa kujilipia gharama za usafiri,chakula na malazi.
(ii) Usaili utaanza saa tatu kamili. Wasailiwa watakaochelewa kufika eneo la usaili kwa zaidi ya nusu saa tangu kuanza kwa usaili hawataruhusiwa.
(iii) Waombaji watakaosailiwa ni wale tu ambao majina yao yameorodheshwa hapa chini.

CLICK HERE TO DOWNLOAD NAMES IN PDF
Download our app

google+

linkedin

HABARI NJEMA KWAKO
  • MATANGAZO YA KAZI KILA SIKU. PAKUA APP YETU HAPO JUU

     

    About Us