Fundi Daraja II( Fitter and Turner), Shirika la Mizinga | Nafasi za kazi 2018

Fundi Daraja II( Fitter and Turner), Shirika la MizingaFUNDI MCHUNDO DARAJA II (FITTER AND TURNER).. - 2 POST
Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2018-01-29 
Application Deadline: 2018-02-11 
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.    Kuchonga vipuri mbalimbali;
ii.    Kusoma na kutafri michoro mbalimbali inayotumika katika karakana;
iii.    Kuhakikisha hali ya usafi na usalama mahala pa kazi;
iv.    Kuendesha mashine mbalimbali za uchongaji katika karakana kama vile Lathe, Milling, Grilling, Drilling nk;
v.    Kufanya kazi za fitting;
vi.    Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika; na
vii.    Kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Kiongozi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
•    Elimu ya kidato cha IVna Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa ‘Fitter and Turner’  kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2
Apply
Download our app

google+

linkedin

HABARI NJEMA KWAKO
  • MATANGAZO YA KAZI KILA SIKU. PAKUA APP YETU HAPO JUU

     

    About Us