Fundi Daraja II ( Fitter Mechanics), Shirika la Mizinga | Angazetu.com

Thursday, 1 February 2018

Fundi Daraja II ( Fitter Mechanics), Shirika la MizingaFUNDI MCHUNDO DARAJA II (FITTER MECHANICS).. - 1 POST
Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2018-01-29 
Application Deadline: 2018-02-11 
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.    Kufanya uchunguzi ili kutambua chanzo cha tatizo na kutoa taarifa kwa ajili ya maamuzi;
ii.    Kufanya matengenezo ya mitambo mbalimbali ya Shirika;
iii.    Kuhakikisha mitambo ipo katika hali nzuriwakati wote;
iv.    Kuendesha mitambo;
v.    Kukagua na kutambua vipuri na vijenzi vilivyoharibika (worn parts) kwa kufuata ratiba ya matengenezo;
vi.    Kusoma na kutafri michoro mbalimbali ya mifumoya mashine;
vii.    Kubadilisha vipuri vilivyoharibika katika mashine na mitambo;
viii.    Kufanya ‘marking –off’ kulingana na michoro; 
ix.    Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika; na
x.    Kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Kiongozi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
•    Elimu ya kidato cha IV na Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa ‘Fitter Mechanics’  kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2
Apply SOMA PIA
About Author
 • Naitwa Mr. Frank , mwanzilishi na mmiliki wa blog hii maarufu kwa ajili ya ajira na elimu. Contact me: +255756525252

  0 comments:

  POST A COMMENT

   

  Contact Us

  Frank Mwaluko, Makuru Secondary School, P. O. Box 58, Manyoni, Tanzania. Tel: 255756525252/ 255685138617 E-Mail: frankzakaria89@gmail.com Website: www.angazetu.com
  Subscribe Us

  Enter your email below to get free and fresh content delivered automatically each time we publish. We respect your Privacy.You’re Safe! No Spam Either !