Fundi Daraja II (Uundaji na Pateni), Shirika la Mizinga | Nafasi za kazi 2018

Fundi Daraja II (Uundaji na Pateni), Shirika la MizingaFUNDI MCHUNDO DARAJA II (UUNDAJI WA PATENI).. - 3 POST
Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2018-01-29 
Application Deadline: 2018-02-11 
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.    Kusoma na kutafsiri michoro;
ii.    Kutambua tabia mbalimbali za mbao zinazotumika kutengenezea pateni;
iii.    Kutengeneza pateni na ‘core boxes;
iv.    Kukarabati pateni na ‘core boxes’;
v.    Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika; na
vi.    Kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Kiongozi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
•    Elimu ya kidato cha IV na Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Uundaji wa Pateni ‘Pattern Maker’    kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2
Apply
Download our app

google+

linkedin

HABARI NJEMA KWAKO
  • MATANGAZO YA KAZI KILA SIKU. PAKUA APP YETU HAPO JUU

     

    About Us