UNATAKA KUPATA MKOPO WA HESLB? BASI OMBA KOZI KATI YA ZIFUATAZO | Angazetu Portal
Breaking News
Loading...

Monday, 30 April 2018

UNATAKA KUPATA MKOPO WA HESLB? BASI OMBA KOZI KATI YA ZIFUATAZOHabari ndugu mzazi au mlezi au Mwanachuo mtarajiwa. Matumaini ya watanzani tuliowengi yapo mikononi mwa Bodi ya mikopo kwa wanafunzi elimu ya juu(HESLB) kupitia serikali. Lakini ikumbukwe kwamba kila Serikali duniani ina vipaumbele vyake, na kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika wizara ya elimu ina Bodi ya mikopo ambayo hudhamini masomo ya wanafunzi wahitaji na wanafunzi watakaosomea programu ambazo ni vipaumbele vya Taifa kwa mwaka husika.

Hivyo basi wewe kama mwanachuo mtarajiwa unatakiwa kufahamu vipaumbele Vya serikali katika utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.

Kwa mwaka wa masomo 2017/2018 Serikali Kupitia Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu , watakao omba kozi zifuatazo wanauhakika wa kupata mikopo ya serikali kwa ajili ya masomo yao.

KUNDI A

Courses under this cluster include: -
(i) Education (Science) and Education (Mathematics);

(ii) Health Sciences (Doctor of Medicine, Dental Surgery;

(iii) Veterinary Medicine, Pharmacy, Nursing, Midwifery, BSc in Prosthetics and Orthotics, BSc in Physiotherapy, BSc in Health Laboratory Sciences, BSc in Medical Laboratory Sciences and BSc in Radiotherapy Technology) and other Health Sciences;

(iv) Civil and IrrigationEngineering;


(v) Petroleum and Gas Engineering.

KUNDI B

Courses under this cluster include:

(i) Engineering Programmes (Civil, Mechanical, Electrical, Mining, Mineral and Processing, Textile, Chemical and Processing, Agriculture, Food and Processing, Automobile, Industrial, Electrical and Electronics, Legal and Industrial Metrology, Maritime Transportation, Marine Engineering Technology,Electronics and Telecommunication, Computer, Computer Science Software, Information Systems and Network, Environmental, Municipal and Industrial Services, and Bio-Processing and Post-Harvest);

(ii) Agricultural and Forestry Sciences Programmes (Agriculture, Agronomy, Horticulture, Agricultural Economics and Agribusiness;

(iii) Forestry, Aquaculture, Wildlife Management, Life Sciences, and Food Science and Technology);
(iv) Animal Sciences and Production;


(v) Science Programmes (BSc General, BSc in/with Applied Zoology, Botanical, Chemistry, Physics, Biology, Microbiology, Molecular Biology and Biotechnology, Fisheries and Aquaculture, Aquatic Environmental Sciences and Conservation, Geology, Petroleum Geology, Petroleum Chemistry, Mathematics, Mathematics and Statistics, Environmental Science and Management, Environmental Health, Biotechnology and Laboratory, Wildlife and Conservation and Computer);

iv) Land Sciences Programmes (Architecture, Landscape and Architecture,Interior Design, Building Survey, Building Economics, Urban and Regional Planning, Land Management and Valuation, and Geospatial Sciences).


REFERENCE

SOMA HAPA


WAKUBWA TU: BOFYA HAPA

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

     

    About Us