CASHIER JOBS - HOSPITALI TEULE YA WILAYA YA KARATU

NAFASI YA KAZI CASHIER - HOSPITALI TEULE YA WILAYA YA KARATU

Hospitali Teule ya wilaya ya Karatu inatangaza nafasi ya CASHIER mwenye sifa zifiatazo 

SIFA ZINAZOTAKIWA
- awe ni raia wa Tanzania
- awe stashahada ya uzamili
- awe na uzoefu usiopungua miaka mi tatu
- awe na umri usiozidi miaka 35
- awe mwaminifu

maombi yatumwe kwa 

AFISA UTUMISHI KARATU,
RUTHERAN HOSPITAL,
S.L.P 165
KARATU

Mamombi yatumwe kabla ya tarehe 04/11/2017 saa 6:30 mchana

kwa mawasiliano zaidi piga 0762180584

Popular posts from this blog

NECTA:Form two 2017 Examination Results(Matokeo ya Kidato cha Pili 2017)

NECTA:ACSEE 2018 EXAM TIMETABLE AND CSEE RESULTS 2017