NAFASI 10 ZA KAZI MTENDAJI KIJIJI DARAJA LA III HALMSHAURI YA WILAYA YA UVINZA | Angazetu Portal- Jobs in Tanzania

Thursday, 23 November 2017

NAFASI 10 ZA KAZI MTENDAJI KIJIJI DARAJA LA III HALMSHAURI YA WILAYA YA UVINZA

PAKUA APP YA AJIRA TANZANIA UPATE MATANGAZO YA KAZI KILA SIKU

BOFYA KWENYE PICHA HII HAPA CHINI


This is angazetu.com the only Site to give you more authentic information about Jobs, online Job search, top high pay Jobs list, how to create a professional CV, how to answer technical Job interview questions, You may also find more information about Education covering scholarships, online degree studies, top lists of best universities, how to register for degree online, common undergraduate programmes, students Loan and more information about Student Tips

Apart from the above, angazetu.com will inform you top headlines on front pages of local Newspapers (Magazetini leo). 

To get started , check out front pages of Local newspapers about sports, education politics, science, technology and other more….Check out Below….

NAFASI 10 ZA KAZI MTENDAJI KIJIJI DARAJA LA III HALMSHAURI YA WILAYA YA UVINZA
 
UTANGULIZI
Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza ni moja kati ya Halmashauri 8  zilizopo katika mkoa wa

Kigoma makao maku yake yapo katika Kata ya Uvinza Kijiji cha Ruchugi Halmashauri ya ilaya ya  Uvinza inakuwa kati ki uchumi na hii ni kutokana na kuboreshwa  kwa shughuli za kiuchumi mawasiliano na kupitiwa na barabara iendayo Tabora na Ktavi sehemu kubwa ya uchumi inategemea kilimo cha mazao ya chakula kama vile mahindi, maharage, mpunga na mazao ya biashara kama mawese na tumbaku
 
 
MTENDAJI KIJIJI DARAJA LA III NAFASI 10
 
SIFA ZA MWOMBAJI
- mwenye elimu ya kidao cha IV au VI aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala , Sheria, Elimu ya jamii usimamizi wa fedha  maendeleo ya jamii na sayansi ya jamii kutoka chuo cha Serikali za mitaa Homboro Dodoma au chochote  kinacho tamblika na serikali
 
MSHAHARA 
- atalipwa mshahara wa 390,000/=
 
KAZI NA MAJUKUMU
- Afisa masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Mitaa
- kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao
- kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipnago ya maendeleo ya kijiji
- kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibi
- katibu wa mikutano ya kamatai zote za  Halmashauri ya KIJIJI
- kuandaa taaraifa za utekelezaji wa kazii katika eneo lake na kuhamasisha  wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa Njaa, Umskini na kuongeza uzalishaji  wa mali
- Kiongozi mkuu wa vitengo vya kitaalam kijijini
- kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbu kumbu zote za nyaraka za kijiji
- atawajibika kwa Mtendaji  wa Kata na Mkurugenzi Mtendaji
- kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote
- kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Kijiji
- kupokea, kusikiliza na kutatua mogogoro ya wananchi
 
MASHARTI YA KAZI 
- Waombaji wote wawe raia wa Tanzania na wawe na umri kuanzia miaka 18 - 45
- waombaji waambatanishe cheti cha kuzaliwa
- waombaji waambatanishe maelezo binafsi,  yenye anuani  n namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini  wa tatu wa karibu
- maombi yaambatanishwe na vyeti vya taaluma, maelezo ya nakala za vyeti  vya kidato cha 4 au 6  wale waliofikia  kiwango hicho cheti cha kuhitimu mafunzo mbali mbali kwa kuzingatia sifa  za kazi husika
- Testimonials na provisional results , hati ya matokeo ya kiato cha 6 havitakubaliwa
- waombaji waambatanishe picha moja ya passport size ya hivi karibuni
- mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 04/12/2017 
 
maombi yatumwe kwa 
 
MKURUGENZI MTENDAJI,HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA,S.L.P 12,UVINZA
PAKUA APP YA AJIRA TANZANIA UPATE MATANGAZO YA KAZI KILA SIKU

BOFYA KWENYE PICHA HII HAPA CHINI


About Author