Ufafanuzi wa "Government circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 Dated November 30, 2010 | Nafasi za kazi 2018

Ufafanuzi wa "Government circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 Dated November 30, 2010

government circular is a written statement of government policy. It will often provide information, guidance, rules, and/or background information on legislative or procedural matters.


Generally, the Document that is used to circulate any special message to a huge member of audiences at the same time is known as circular letter. It is one of the cost effective means of circulating information or introducing new products to mass people. However, circular letters are not only used in business, but also in social, political and personal affairs.

TANZANIA Government circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 Dated November 30, 2010

Huu ni ufafanuzi wa waraka tajwa hapo juu unaowataka watumishi wa umma kabla ya kuomba Kazi wausome kwanza
Unafahamu unasemaje? Ungana nami  kwa kusoma ufafanuzi huo hapo chini kama ulivyotolewa na Mamlaka husika

Mtumishi wa Umma na pindi anapotaka kuomba nafasi ya Kazi Serikalini lazima azingatie waraka Tajwa  hapo juu
Kwa kifupi kutokana na waraka huo Mtumishi ambaye tayari ni muajiriwa wa Serikali kwa kada fulani kwa mfano mhasibu msaidizi haruhusiwi kuomba nafasi hiyo hiyo pindi inapotangazwa Serikalini,

Aidha kama wewe ni mhasibu msaidizi na ulijiendeleza hadi kufikia kiwango cha shahada inapotangazwa nafasi ya Mhasibu daraja la pili na sifa zake inahitaji mtu mwenye shahada unaruhusiwa kuomba lakini kwa kuwa wewe tayari ni mtumishi wa umma unapaswa kupitisha barua yako ya maombi kwa mwajiri wako.
Aidha, kuna taratibu nyingine hutumika kwa mtumishi wa aina hii. Utaratibu huo unafahamika kama “Recategorization” au kubadilishwa masharti ya kazi kwa kuwa una sifa nyingine tofauti na ile ya awali.
Jukumu hilo lipo ndani ya uwezo wa mwajiri wako.
Aksante
Source: Secretariat ya AjiraThis is angazetu.com the only Site to give you more authentic information about Jobs, online Job search, top high pay Jobs list, how to create a professional CV, how to answer technical Job interview questions, 

You may also find more information about Education covering scholarships, online degree studies, top lists of best universities, how to register for degree online, common undergraduate programmes, students Loan and more information about Student Tips
Download our app

google+

linkedin

HABARI NJEMA KWAKO
  • MATANGAZO YA KAZI KILA SIKU. PAKUA APP YETU HAPO JUU

     

    About Us