Fundi Daraja II (Uungaji Vyuma-Mouiding), Shirika La Mizinga | Nafasi za kazi 2018

Fundi Daraja II (Uungaji Vyuma-Mouiding), Shirika La MizingaFUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING).. - 2 POST
Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2018-01-29 
Application Deadline: 2018-02-11 
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.    Kuandaa mchanga utumikao katika uandaaji wa ‘moulds’ na ‘core’ mbalimbali;
ii.    Kutengeneza ‘moulds’ za aina mbalimbali kwa ajili ya usubiaji;
iii.    Kusubu brasi na vyuma;
iv.     Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
v.    Kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Kiongozi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Usubiaji na Uungaji Vyuma ‘moulding’ kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2
Apply
Download our app

google+

linkedin

HABARI NJEMA KWAKO
  • MATANGAZO YA KAZI KILA SIKU. PAKUA APP YETU HAPO JUU

     

    About Us