Wafanya Usafi Job Vacancies at Fastlink Agri Business September 2026 10 views

Apply for 3 Wafanya Usafi (Cleaners) positions at Fastlink Agri Business in September 2026. Explore duties, requirements, and submit your application today!

FASTLINK AGRI-BUSINESS 

Shughuli za Kusaga Nafaka — Kigoma, Tanzania 

NAFASI ZA KAZI 

MFANYA USAFI (Nafasi 2) 

Kituo cha Kazi: Kigoma

Sifa: Awe na afya njema na mwenye kujali usafi

MAJUKUMU MAKUU 

  • Kusafisha eneo la kusaga nafaka, ofisi, maghala na vyoo kila siku.
  • Kutunza sakafu, maeneo yanayozunguka mashine na sehemu za kazi ziwe safi bila vumbi na  uchafu.
  • Kukusanya na kutupa taka kwa njia sahihi.
  • Kuhakikisha kiwango cha juu cha usafi kinatunzwa katika eneo lote la kazi. ● Kutoa taarifa ya mahitaji ya usafi au upungufu wa vifaa vya usafi.
  • Kufuata sheria zote za afya na usalama wakati wa kazi.
  • Kufanya kazi nyingine zozote za usafi kama atakavyoelekezwa na msimamizi.

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI: 16 Septemba, 2026 

Jinsi ya Kutuma Maombi 

Waombaji wenye nia na sifa wanaombwa kuwasilisha barua ya maombi pamoja na wasifu (CV)  wenye maelezo ya kina na nakala za vyeti husika. Maombi yanaweza kutumwa kwa barua pepe au  kufikishwa/kutumwa moja kwa moja kwenye anwani ifuatayo. Wafanya Usafi (3 Positions)

Tuma kwa: 

Email: elizabeth@fastlinksafaris.co.tz 

Fastlink Safaris & Tours Ltd 

Lumumba Road

P.O. Box 750

Kigoma – Tanzania

Kumbuka: Waombaji waliochaguliwa pekee ndio tutakaowasiliana nao. Fastlink Agri-Business ni mwajiri  anayetoa fursa sawa kwa wote.

Looking for more vacancies?

Browse All Latest Jobs in Tanzania