DEREVA MITAMBO (PLANT OPERATOR)
Halmashauri ya Manispaa ya Geita
3 Positions
Application Period
23/03/2026 – 05/04/2026
Duties and Responsibilities
Kuendesha mitambo chini ya usimamizi wa Dereva mitambo mwenye uzoefu.
Qualifications
Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha nne ambao wana leseni Daraja la āGā ya kuendesha Mitambo na ujuzi wa kutunza vyombo mbalimbali vya mitambo hiyo, wenye uzoefu wa kuendesha mitambo kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali.
