DEREVA MITAMBO (PLANT OPERATOR) 20 views

DEREVA MITAMBO (PLANT OPERATOR)

Halmashauri ya Manispaa ya Geita
3 Positions
Application Period
23/03/2026 – 05/04/2026
Duties and Responsibilities

Kuendesha mitambo chini ya usimamizi wa Dereva mitambo mwenye uzoefu.

Qualifications

Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha nne ambao wana leseni Daraja la ā€œGā€ ya kuendesha Mitambo na ujuzi wa kutunza vyombo mbalimbali vya mitambo hiyo, wenye uzoefu wa kuendesha mitambo kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali.

Remuneration
TGOS A